DR JAKAYA KIKWETE AMEWAENGUA MAWAZIRI WANNE
Kufatia kamati kueleza madhira waliyokutana nayo wananchi katika Operation Tokomeza iliyo wasilishwa leo Bungeni imepelekea mawaziri wanne kupoteza nasafi zao. Waziri mkuu Bw Mzengo Pinda alitoa taarifa hiyo kupitia bunge. Mawaziri ambao rais amewaengua ni kama ifuatayo:
1. Kagasheki - Waziri wa Mali asili na Utalii ambaye yeye alifanya maamuzi hayo magumu ya kujihudhuru kabla ya rais kufanya uhamuzi huo.
2. Samsi V. Nahodha - Waziri wa Ulinzi
3. E. Nchimbi - Waziri wa Mambo ya Ndani
4. D. Mathato. Waziri wa Mifugo.
0 comments:
Post a Comment