Picha mbali mbali za matukio katika ziara ya mwenyekiti wa chama cha Mapinduzi katika manispaa ya Morogoro.
|
Kulia ni katibu uchumi na fedha mstaafu wa tawi la MUM akifatiwa na Mwenyekiti wa tawi hilo. |
|
Mhe mbunge akiwa na katibu mwenyezi wa wilaya ya Morogoro mjini aliyevaa kofia |
|
Katibu Uchumi na Fedha wa tawi maalum la vyuo vikuu MUM |
|
Mhe Mbunge Abood Azizi akikabidhi kadi kwa wanachama wapya wa kata ya Kihonda Magorofani |
|
Mhe Mwenyekiti wa CCM manispaa ya Morogoro |
Mtani
Mshana is Tanzanian blogger who writes different news without bias, He provides social, political and sports as well as Entertainment news happening in all parts around the World."STAY ME ALL THE TIME FOR INSTANT UPDATES.."
0 comments:
Post a Comment