mwanazuoni

DUNIA INA MAMBO

Waswahili wanasema " kuishi kwingi kuona mengi" ni misemo ya kiswahili ambayo kwa haraka haraka huwezi kupata maana sahihi ya misemo hiyo mpaka ufanya tafakuri ya kina ndani ili huweze kudadavua kilicho ndani yake. Hivi karibu tumeshuhudia wanafunzi wakimaliza elimu yao ya Upili katika shule mbali mbali hapa nchi ila baada tu ya kumaliza kumekuwa na matukio ambayo sio mazuri kwani kuna ushahidi tosha katika mitandao mbali mbali ya kijamii pia hata katika vyombo mbali mbali zikiripoti habari mbali mbali kuhusu uchafu wa wanafunzi wetu hasha watoto wa kike.

  Tumepokea taarifa kuwa kuna  wanafunzi ambaye anashubiri majibu ya elimu ya Upili katika shule moja jijini amepata mimba hali ya kuwa yupo katika kipindi cha kusubiri majibu hayo. Mwandishi wetu alifanya jitihada  za hapa na pale hili kupata maelezo ya dhati kutoka kwa binti huyo lakini jitiada hizo hazikuza matunda kwani simu ya binti huyo ilikuwa inahita bila kupokelewa kwa muda mrefu.

Mwandishi wetu bado anafanya jitiada ya kupata mawasiliano na binti huyo ili kuja kuthibitisha tetesi hizo. Hivyo basi tunawaomba kuwa na subira wakati wowote tutaweka habari kamili.
Share on Google Plus

. Mtani

Mshana is Tanzanian blogger who writes different news without bias, He provides social, political and sports as well as Entertainment news happening in all parts around the World."STAY ME ALL THE TIME FOR INSTANT UPDATES.."
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment