Baada ya Nelson Mandela kuzikwa hapo jana. leo dakika chache zilizopita kumezinduliwa sanamu kubwa ya Mandela. Sanamu kubwa iliyotengenezwa kwa Shaba na yenye urefu wa mita 9. imezinduliwa katika bustani ya majengo ya bunge na hikionyesha Mandela akisisitiza umoja na maridhihano.
Kwa taarifa nyingine zaidi tutaendelea kuwapa habari zaidi kupitia hapa hapa katika blog yetu ya wananchi.
- Blogger Comment
- Facebook Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments:
Post a Comment