Patrice Evra hana matumaini kuwa Man U wana huwezo wa kuchukua kombe la Capital One baada ya jana kufanikisha kuingia nusu fainal baada ya kumfunga Stoke City mabao 2 kwa bila. Alisema maneno hayo baada ya kufanya mahojiano na mwandishi wa habari wa Sky sport.
" nafikilia kuwa ni muhimu sana kuchukua kombe. Nakumbuka kuwa Capital One ndio kombe langu la kwanza pindi tu nilipojiunga Manchester United" Evra alisema pia aliendelea kwa kusema " kila mtu anafikilia kushinda kwa sababu ni kombe la mapema na linajenga kujiamini kwa timu, hivyo tunahitaji kushinda au kuchukua kombe hili."
- Blogger Comment
- Facebook Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments:
Post a Comment