Aliyekuwa katibu wa Chama Cha Mapinduzi mkoa wa Iringa Bw. Mteming'ombe.
amefarikir katika hospitali ya mkoa wa Iringa alipokuwa amelazwa kwa zaidi ya siku moja akisumbuliwa kwa ugonjwa pumu.
Taratibu za mazishi zinafanyika, limethibitishwa hilo na mwenyekiti wa ccm mkoa wa Iringa Jesca Msambatavangu .
0 comments:
Post a Comment