Kila jambo lina mwanzo pia lina mwisho. Hivyo kila binadamu hana budi kutambua kuwa kuna mwisho wa kila jambo. Leo ni siku ya huzuni sana kwa ndugu, jamaa, majirani pia na kwa familia. Tulikupenda sana mama Ney ila mungu amakupenda zaidi sisi tupo nyuma yako kwa maombi na sala mama yetu mpendwa kwani hakuna wa kuziba pengo lako . Tumejifunza mengi sana wakati wa uhai wako pia tunakuahidi kuwa tufanya yale yote ambao umetuachia.
R . I .P
Vijana wa Al Jazeera wakiwa kanisani wakisubiri kwenda mazikoni |
0 comments:
Post a Comment