mwanazuoni

AGUERO APIGA HART TRICK

Mshambuliaji wa timu ya Manchester City , Aguero leo ameipatia timu ya Manchester City kwa kupiga goli tatu pekee yake. Manchester City ilishinda goli nne kwa mbili zidi ya Watford. ila mpaka timu hizo mbili zinakwenda mapumziko Manchester City walikuwa nyuma ya magoli mawili kwa bila lakini mambo yalibadilika kwani dakika 60 Aguero aliipatia Man City gola la kwanza na dakika ya 79 akiipatia goli la pili na dakika ya 87 Aleksandar Kolarov akiipatia Man city gola la tatu kabla ya refa kupuliza kiprnga cha mwisho Aguero alifunga goli la nne katika dakika ya 90.
Share on Google Plus

. Mtani

Mshana is Tanzanian blogger who writes different news without bias, He provides social, political and sports as well as Entertainment news happening in all parts around the World."STAY ME ALL THE TIME FOR INSTANT UPDATES.."
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment