Baada ya kamati kuu kufanya maamuzi ya kumvua Dr Kitila Mkumbo na Samaon Mwigamba uanachama wa CHADEMA kwa kosa la usaliti , kosa ambalo linalanda na moja wapo ya kosa ambalo linamkabiri Zitto. Je nini kitatokea kesho baada ya Mahakama kama itahamuru kuwa Kamati Kuu wanaruhusiwa kumjadili Zitto kabwe ? au kauli ya Zitto katika ukurasa wake wa Fb kusema kuwa " wamezoea vya kunyonga....." itatimia kwa chadema watakaposhindwa kufanya maamuzi kama waliyofanya kwa Dr Kitila na Mwigamba ? ehee mungu tuamshe salaama kesho ili tujue hatma ya Zitto ndani ya CCHADEMA.
Mwigamba
Dr Kitila
Chanzo: mitandao ya kijamii
Mtani
Mshana is Tanzanian blogger who writes different news without bias, He provides social, political and sports as well as Entertainment news happening in all parts around the World."STAY ME ALL THE TIME FOR INSTANT UPDATES.."
0 comments:
Post a Comment