Kamati Kuu ya CHADEMA imemaliza kikao chake maalum kilichoanza juzi Januari 3, 2014, jijini Dar es Salaam.
Kamati Kuu imetoa magizo kwa Sekretarieti yake, ambayo itakutana kesho Makao Makuu kuandaa na kutoa tamko juu ya maamuzi ya kikao hicho mbele ya wahariri, waandishi waandamizi na waandishi.
Tunatumia fursa hii kuwaalika nyote kwenye press conference hiyo itakayofanyika leo Januari 5, 2014.
Makene
0752 691569
Mtani
Mshana is Tanzanian blogger who writes different news without bias, He provides social, political and sports as well as Entertainment news happening in all parts around the World."STAY ME ALL THE TIME FOR INSTANT UPDATES.."

0 comments:
Post a Comment