Baadhi ya vijana na wadau wa siasa nchi wakiwa kwenye foreni ya kusubiri kuingia mahakaman kwenda kufatilia nini kitatokea leo mahakamani kwenye shauri liliwakilishwa na mwanasheria wa Zitto.
Pande zote mbili zimewasili mahakamani hapo na hivi sasa kesi inaendelea ila tunawaomba kuendelea kufatilia habari hapa kwani tutakuwa tunawapa kila kinachojili mahakamani hapo.
Upadates
Mahakama imeailisha kesi na kuendelea tena kesho saa 8 mchana kwa ajili ya hukumu juu ya kesi ya pingamizi lilowekwa na Zitto . Sasa kazi ipo ndani ya chadema ili tuendelee kusubiri nini kitatokea.
0 comments:
Post a Comment