GWIJI wa Soka la Kimataifa wa Liberia George Weah ametangaza rasmi kuwa atawania nafasi ya urais wa nchi hiyo kwa mara ya pili.
Weah, ambaye aliwahi kuchezea klabu za PSG, AC Milan, Chelsea, na
Monaco amebainisha kwamba amekuwa na malengo ya kuliletea Taifa hilo
mabadiliko, tangu alipoanza kujihusisha na masuala ya kisiasa mara tu
baada ya kurejea Liberia mwaka 2003.
Rais wa Sasa Johnson Sirleaf anamaliza awamu yake ya pili na ya
mwisho katika utawala wake mwaka 2017 ambapo kwa mujibu wa Katiba ya
nchi hiyo hataweza tena kuwania nafasi hiyo.
Home / burudani /
habari
/ LIBERIA: GWIJI LA SOKA, GEORGE WEAH ATANGAZA KUWANIA URAIS KWA MARA YA PILI
- Blogger Comment
- Facebook Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)

Mtani
0 comments:
Post a Comment