mwanazuoni

Maandamano nchini Colombia



Rais wa Colombia Juan Manuel Santos(katikati) akiwa ameshika nakala ya makubaliano ya amani na Waasi wa FARC
Maelfu ya watu wanaandamana katika miji kadhaa nchini Colombia ili kushinikiza kuzingatiwa kwa makubaliano yaliyosainiwa na serikali na waasi wa FARC.
Huko Bogota familia za wahanga wa mgogoro kati ya waasi hao na serikali walipewa maua meupe kama ishara ya amani.
Makubaliano hayo yamekuja baada ya muda mrefu wa mazungumzo lakini mapema mwezi huu watu wengi walipinga makubaliano hayo katika kura ya maoni.
Kiongozi wa FARC Timochenko amesema kuwa atasita kujadili tena moja ya kifungu tata ambacho kinahusu kupunguzwa kwa adhabu ya kifungo kwa watakaokubali kuwa walikiuka haki za binadamu.
BBC 
Share on Google Plus

. Mtani

Mshana is Tanzanian blogger who writes different news without bias, He provides social, political and sports as well as Entertainment news happening in all parts around the World."STAY ME ALL THE TIME FOR INSTANT UPDATES.."
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment