mwanazuoni

KOROSHO YAMNYIMA USINGIZI RC MTWARA

Wakulima Wa KOROSHO wanapata Tabu wakati Kuna Viongozi wanawalinda wanaosabibisha wakulima kupata tabu. Soma hii kutoka kwenye vyanzo vya Wabunge Wa Masasi.

Breaking news;
Wabunge Wa Wilaya ya Masasi mkoani mtwara, Cecil David Mwambe, Ndanda, Dkt Rashidi Chuwachuwa , Masasi na Jerome Bwanausi Lulindi wasusia kikao cha kamati ya ulinzi na usalama baada ya Mkuu Wa Mkoa kutaka kupitisha hoja ya kujadili maswala ya malipo ya wakulima Wa korosho jambo ambalo wabunge hao wamesema limemshinda na kwa sasa liko kwa Waziri Mkuu na atafanya mkutano leo Saa saba na wadau Wa  korosho mkoani Ruvuma, amelalamikiwa kumlinda kaimu Meneja Mkuu Wa Mamcu na pia wamiliki Wa ghala la Buko lililopo Masasi baada ya kupoteza kwenye mazingira tata korosho tani elf 2, hata ivyo imegundulika kuwa Rc anamahusiano ya kindugu na wamiliki hao ivyo kila mara kuwakingia kifua, lilitokea pia jsmbo ksma hilo msimu uliopita, lakini pis wabunge wamelalamikia kutokuwekwa wazi kwa taharifa ya ukaguzi Wa mahesabu za msimu uliopita, wamemtaka Mh Raisi pia apime utendaji Wa Rc na utayari wake katika kuwasaidia wakulima Wa korosho, kwa kipindi kirefu ameonekana kuwa kama ni sehemu ya matatizo badala ya suluhisho,

Share on Google Plus

. Mtani

Mshana is Tanzanian blogger who writes different news without bias, He provides social, political and sports as well as Entertainment news happening in all parts around the World."STAY ME ALL THE TIME FOR INSTANT UPDATES.."
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment