mwanazuoni

MBUNGE WA JIMBO LA MASASI DR RASHIDI CHUACHUA AFANYA MAKUBWA KWENYE ELIMU

Ni kiwa leo tarehe 9/01/2017 nikiwa Shule ya Msingi Chipole.

Tumetoa Hundi ya Tsh milioni Moja kwaajili ya ukarabati wa Madarasa katika Shule hii.

Pia nikifika Chiwisi pia waliniomba wanahitaji shule , Nimetoa Hundi kwaajili ya maandalizi ya ujenzi wa Shule kwa kuanzia na Madarasa.

Pia nikifika Chiwisi pia waliniomba wanahitaji shule , Nimetoa Hundi kwaajili ya maandalizi ya ujenzi wa Shule kwa kuanzia na Madarasa.

Tujitolee katika Maendeleo

Tujitolee katika Maendeleo
Share on Google Plus

. Mtani

Mshana is Tanzanian blogger who writes different news without bias, He provides social, political and sports as well as Entertainment news happening in all parts around the World."STAY ME ALL THE TIME FOR INSTANT UPDATES.."
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment