mwanazuoni

ARSENAL YAKUBALI KIPIGO KIZITO LEO


Kocha mwenye asili ya Ufaransa Aserne Wenger leo alijikuta katika hali mbaya iliyomfanya kuona weekend kuwa ngumu kwake kwa kukubali kupokea kichapo cha mabao 3 - 1 kutoka kwa West Bromwich Albion.

Mpaka mpira unakwisha matokeo: West Bromwich Albion 3 - 1 Arsenal 
Share on Google Plus

. Mtani

Mshana is Tanzanian blogger who writes different news without bias, He provides social, political and sports as well as Entertainment news happening in all parts around the World."STAY ME ALL THE TIME FOR INSTANT UPDATES.."
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment