mwanazuoni

BULEMBO NDANI YA WILAYA YA KASULU MKOANI KIGOMA

 Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM, Mwenyekiti wa Jumuia ya Wazazi Tanzania, Alhaj Abdallah Bulembo akizungumza na Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Wilaya ya Kasulu, Mabalozi, Watendaji wa CCM na wa Serikali, katika kikao cha ndani kilichofanyika leo, Juni 2, 2017, mjini Kasulu, akiwa katika mwendelezo wa ziara zake za Kichama mikoani.
Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM, Mwenyekiti wa Jumuia ya Wazazi Tanzania, Alhaj Abdallah Bulembo akizungumza na Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Wilaya ya Kasulu, Mabalozi, Watendaji wa CCM na wa Serikali, katika kikao cha ndani kilichofanyika leo, Juni 2, 2017, mjini Kasulu, akiwa katika mwendelezo wa ziara zake za Kichama mikoani. Kushoto ni Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Kigoma Dk. Amani Kaborou na Kulia ni Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Kasulu Ezekiel Kaloba.
 Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Kigoma Dk. Amani Kaborou wakati akimkaribisha mgeni rasmi kuzungumza katika kikao hicho. Kushoto ni Mbunge wa Viti Maalum Josephine Ngezabuke, Katibu wa Siasa na Oganaizesheni Makao Makuu ya Jumuia ya Wazazi Tanzania Daniel Mgaya, Katibu wa CCM Wilaya ya Kasulu Ndugu Manyonyi na Kuliani Katibu wa CCM mkoa wa Kigoma Naomi Kapambala, Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Kasulu Ezekiel Kaloba na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM, Mwenyekiti wa Jumuia ya Wazazi Tanzania Alhaj Abdallah Bulembo.
Katibu wa CCM mkoa wa Kigoma, Naomi Kapambala alipokuwa akitoa maneno ya utangulizi katika kikao hicho. Kulia ni Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Kigoma Dk. Amani Kaborou na Mgeni Rasmi Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM, Mwenyekiti wa Jumuia ya Wazazi Tanzania Alhaj Abdallah Bulembo.
Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Kasulu Ezekiel Kaloba alipokuwa akifungua kikao hicho.
 Wajumbe wakishangilia wakati Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM, Mwenyekiti wa Jumuia ya Wazazi Tanzania, Alhaj Abdallah Bulembo alipokuwa aliposema maneno yenye mguso wakati akizungumza nao kwenye kikao hicho. 
Share on Google Plus

. Mtani

Mshana is Tanzanian blogger who writes different news without bias, He provides social, political and sports as well as Entertainment news happening in all parts around the World."STAY ME ALL THE TIME FOR INSTANT UPDATES.."
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment