mwanazuoni

Ireland kupata waziri mkuu wa kwanza mpenzi wa jinsia moja

Leo Varadkar anatarajiwa kuwa waziri mkuu nchini Ireland baada ya kushinda uongozi kwa chama cha Fine Gael.

Varadkar mwenye umri wa miaka 38, atakuwa waziri mkuu wa kwanza mpenzi wa jinsia moja na pia waziri mkuu mwenye umri mdogo zaidi kuwaia kuongoza nchi hiyo.

Bwana Varadkar alimshinda wazari wa makao Simon Ceveney kwa asilimia 60 ya kura kuongoza chama cha Fine Gael, ambacho ndicho chama kikubwa zaidi katika serikali ya umoja.

Atachukua mahala pa Enda Kenny kama kiongozi wa chama cha kati kulia wiki chache zinazokuja.

Alijulikana kuwa mpenzi wa jinsia moja wakati wa kura ya maoni ya ndoa za jinsia moja mwaka 2015.
Share on Google Plus

. Mtani

Mshana is Tanzanian blogger who writes different news without bias, He provides social, political and sports as well as Entertainment news happening in all parts around the World."STAY ME ALL THE TIME FOR INSTANT UPDATES.."
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment