mwanazuoni

SNURA: SHEPU YANGU SIO MCHINA


STAA wa muziki wa kizazi kipya, Snura Mushi amesema kuwa hajawahi kutumia dawa za kuongeza shepu kama inavyoelezw na watu kwenye mitandao ya kijamii. Snura alisema kuwa hayo ni maumbile yake ya asili kwani hata familia yao wote wana maumbile makubwa. “Jamani huu ni mwili wangu, hata ukifika kwetu utaona namna ambavyo tumejaaliwa kuwa na maumbile makubwa. Sijatumia dawa yoyote,” alisema Snura. “Wanaosema nimetumia mchina ni kwa sababu hawaufahamu ukoo wangu, kwetu sisi wote tuna miili mikubwa.” Msanii huyo aliongeza kuwa anafahamu ni kinyume cha maadili ya Mungu kubadilisha maumbile ya asaili, hivyo kamwe hawezi kufanya dhambi hizo.

 
Share on Google Plus

. Mtani

Mshana is Tanzanian blogger who writes different news without bias, He provides social, political and sports as well as Entertainment news happening in all parts around the World."STAY ME ALL THE TIME FOR INSTANT UPDATES.."
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment