|
Wamependeza makada |
|
Kada SILAS Mchumi na fedha mstaafu MUM |
|
Mhe January Makamba |
|
Mhe Mtulykwako, MCHUMI NA FEDHA TAWI LA MUM |
|
Mhe Bw Malela. Mwenyeki mstaafu wa MUM wa kwanza Kushoto |
Hizi baadhi ya picha za makada wa CCM kutoka vyuo vikuu mbali mbali ndani ya mkoa wa morogoro wakiwa katika mahafali hapo jana katika ukumbi wa bwalo la JKT. Mahafari hayo yalijumuisha chuo kikuu cha waislam Morogoro, SUA, MZUMBE na Jordan.
Mtani
Mshana is Tanzanian blogger who writes different news without bias, He provides social, political and sports as well as Entertainment news happening in all parts around the World."STAY ME ALL THE TIME FOR INSTANT UPDATES.."
0 comments:
Post a Comment