wakati ni Mwenyekiti Bw Edo |
Hawa ni vijana wa kitanzania ambao wameamua kutumia muda wao na elimu nkuhakikisha wanajamii wanafaidika na elimu na kujivunia matunda amabo wameyapanda wazazi wao. Ni vijana wanaofanya kazi za kiharakati kwa manufaa ya jamii na kuacha itikadi zao za kisiasa, kwani TAHIRI SQUARE imebalikiwa kuwa na viongozi wakubwa katika vyama vikubwa vya nchi hii. Wapo viongozi wa chama cha NRA Taifa, CUF mkoa, CHADEMA mkoa na CCM taifa na mkoa. ila wamekuwa pamoja na kufanyakazi kwa maslahi ya taifa na sio chama. Hongereni kwa wale ambao wamehitimu na wale ambao mpo bado chuoni kazi buti kwani harakati bila ya elimu ni sawa na chai bila majani ya chai.
0 comments:
Post a Comment