mwanazuoni

TAIFA LINAHITAJI VIJANA MAKINI

Vijana wanapokuwa mstari wa mbele katika kutetea maslahi ya taifa. Itapelekea  taifa kutoka katika dimbwi kubwa la kukosa maendeleo. Tanzania nchi yenye kila rasimali ambazo ni kikucheo cha maendeleo katika nyanja zote yaani ya kiuchumi, kijamii na hata  kisiasa.

 Tatizo kubwa la nchi hii kuwapa watu uongozi ambao awana  sifa ya kuwa viongozi, tunaanda vionozi ambao hawezi hata kujibu hoja makini na pia hawawezi hata kusimamia kile ambacho ni sahihi na kufatiria mambo ambao hayana msingi kwa taifa kwa ujumla. Mfano juzi CAG wakati anapeleka ripot ya ukaguzi bungeni waziri mkuu yupo  kwenye mahafari katika chuo kikuu cha Mzumbe.

 Tunashindwa kuwaanda vijana kupitia vyuo vyetu vikuu kwa malengo ya kwenda kutoa huduma kwa jamii zao. Tumekua tukiandaa vijana kuwa waoga katika kusimamia mambo yao ya msingi na kuwa na mihemko ambao kimsingi haina teja yoyote kwa jamii. 
 Awa ni baadhi ya vijana ambao mungu akiwajalia watakuja kuwa viongozi bora na wenye mafanikio makubwa kwa mustakabali wa nchi yetu.


 Mhe: Jashia



Mhe: Njarau




 Mhe: Adam Matimbwa




 wadau wakifatiria kikao

 Ndugu Yusuph




 Ndugu; Babu Ally na Jashia wakifatiria kikao kwa makini

 Ndugu Mbegu moja 

 Ndugu akitoa mawazo yake chanya kwenye kikao

Share on Google Plus

. Mtani

Mshana is Tanzanian blogger who writes different news without bias, He provides social, political and sports as well as Entertainment news happening in all parts around the World."STAY ME ALL THE TIME FOR INSTANT UPDATES.."
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment