mwanazuoni

JUSTIN BIEBER AKAMATWA NA POLISI


Polisi katika mji wa Miami Beach, wamesema kuwa mwanamuziki huyo mwenye umri wa miaka 19 pia alikuwa anaendesha gari lake kwa kasi kupindukia.
Mtandao unaofuatilia maisha ya wasanii wa kimataifa, TMZ umeripoti kuwa Justin Bieber aliondoka klabuni mapema asubuhi akiwa anaendesha gari aina ya Lamborghini wakati polisi walipomtaka kutumia kifaa cha kupima ikiwa alikuwa mlevi.
Alipatikana kuwa mlevi ndio maana akakamatwa.
Wiki ya jana polisi walifanya msako katika nyumba ya mwanamuziki huyo, baada ya madai kuwa alirusha Mayai katika nyumba ya jirani yake na kusababisha uharibu wa thamani ya maelfu ya dola.
Share on Google Plus

. Mtani

Mshana is Tanzanian blogger who writes different news without bias, He provides social, political and sports as well as Entertainment news happening in all parts around the World."STAY ME ALL THE TIME FOR INSTANT UPDATES.."
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment