.jpg) |
| Mhe Kange Lugola |
Akiongea katika kipindi cha Star Tv kinachujulikana kwa jina la Tuongee Asubuh, Mhe Kangi Lugola mbunge wa Mwimbara amesema ni vema katibu mkuu Kinana na Katibu mwenezi Nape Nauye wakajihudhuru ili kulinda heshima yao, amesema kwa sasa jambo lolote watakalosema kwa wananchi awatasikilizwa kwa kuwa mwenyekiti wao wa chama Mhe Dr Jakaya Kikwete amewadharau pia Lugola ameenda mbali zaidi kwa kusema CDM walienda Ikulu na kutoa ushauri wa kurekebisha mswada wa sheria ya katiba na kusikilizwa na rais, sasa iweje asiwasikilize watendaji wakuu wa chama chama chake?
Lugola ameyasema haya baada ya rais kuwarudisha wale wote mawaziri ambao waliitwa mizigo.
.jpg) |
| Mhe: Kinana |
.jpg) |
| Mhe: Nape |
Mtani
Mshana is Tanzanian blogger who writes different news without bias, He provides social, political and sports as well as Entertainment news happening in all parts around the World."STAY ME ALL THE TIME FOR INSTANT UPDATES.."
0 comments:
Post a Comment