CHARLIE ADAM APELEKA MSIBA KWA MANCHESTER UTD
Hapo jana washabiki na wapenzi wa Manchester Utd walikuwa katika wakati mgumu baada ya kukubali kupokea kipigo cha 2 kwa 1 kutoka kwa Stoke City na goli zote mbili zilifungwa na Adam. Amevunja rekod kwan kwa mara ya kwanza Stoke City kuifunga Man U ilikuwa mwaka 1984.Hivyo ushindi huu waliopata jana Stoke City ni ushindi wa kihistori.
Mtani
0 comments:
Post a Comment