HABARI KUTOKA MBEYA: CCM KUMEKUCHA SASA
Matembezi ya Mshikamano ya Kuadhimisha miaka 37 ya kuzaliwa kwa Chama Cha Mapinduzi yanayofanyika Kitaifa Mkoani Mbeya.Matembezi hayo yameanza vizuri kuanzia Soweto mpaka viwanja vya Sokoine, mambo chama cha Mapinduzi kitafanya maadhimisho. Habari zaidi nini kinaendelea zitakuwa zinawajia mara kwa mara kupitia blog yako hii.







Mtani
0 comments:
Post a Comment