Leo kocha wa Manchester United amejikuta akiwa katika hali mbaya baada ya kukubali kichapo cha mabao mawili kwa moja. Man U 1 - 2 Swanse. Kipigo hicho kimemfanya kocha Van Gal kuvunja rekodi ya mwaka 1972 ambayo Man U ilikubali kufungwa katika mechi ya ufunguzi katika uwanja wake wa nyumbani.
- Blogger Comment
- Facebook Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments:
Post a Comment