mwanazuoni

KUMEKUCHA DODOMA PATA MATOKEO YA KURA ZA MGOMBEA KITI CHA URAIS CCM

Breaking Newzzzzzz....
Matokeo. Magufuri kura 1368=62percent.
               Amina kura 462=28peecent.
               asharozi 203=10percent. Magufuri kura zimetosha.

Kusema ukweli, mimi kama mimi nilikuwa nimeshagive up on CCM. Kilichonirudisha 100% ni Magufuli. Huyu baba ni mkali hana mchezo na mtu just what Tanzania needed. Kusema ukweli mimi nilikuwa ndio mtoa kasoro wa kwanza wa chama changu naomba kutangaza rasmi kuwa nayameza maneno yangu sababu ya Magufuli. Sasa CCM itarudi kwenye mstari. Sasa Nchi itarudi kama enzi za Mkapa or even better. Magufuli anakabidhiwa nchi ikiwa nyang'a nyang'a ila atairudisha kwenye mstari... Namuaminia. Wananchi ambao mlikuwa mmeshagive on CCM kama mimi naomba turudi full fulll. No more ujinga ndani ya CCM now..Mambo yatabadilikaaaaaa. Naamini... Yes women supporting women ila pale top 3 sikuona wa kuwapigisha watu gwaride zaidi yake na nchi iko kwenye hali mbaya mnoooooo anahitajika mtu mkali sana. Navyojua kutoa viongozi kasoro ila hapa nimeshindwaaaaa naomba nitoe salute . Mamae CCM wamecheza kama Ronaldo!!!! Au walimfufua Nyerere for day???

Read more at http://websta.me/n/mangekimambi_#bhu1RAttmSSQHbm0.99
Share on Google Plus

. Mtani

Mshana is Tanzanian blogger who writes different news without bias, He provides social, political and sports as well as Entertainment news happening in all parts around the World."STAY ME ALL THE TIME FOR INSTANT UPDATES.."
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment