mwanazuoni

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI

Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama Cha Mapinduzi imekutana Februari  03, 2016, Ikulu ya Chamwino, nje kidogo ya mji wa Dodoma.
Katika kikao hicho, Kamati Kuu pamoja na mambo mengine imefanya yafuatayo:-
Kamati Kuu imempongeza Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein kwa kuchaguliwa kuwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduizi kwa kura nyingi katika uchaguzi wa marudio uliofanyika tarehe 20 Machi, 2016 huko Zanzibar. Kamati Kuu pia imewapongeza wananchi wa Zanzibar kwa kuendelea kukiamini Chama Cha Mapinduzi kwa kukipa ushindi wa kishindo katika nafasi ya Rais, Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi na Madiwani.
Aidha Kamati Kuu imepitisha majina ya Wabunge wa CCM 21 walioomba nafasi za Ujumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa kupitia Wabunge wa CCM katika Bunge la Tanzania. Waliopitishwa ni:-

Ndugu Munde Tambwe Abdallah
Ndugu Jamal Kassim Ali
Ndugu Faida Mohamed Bakari
Ndugu Mbaraka Kitwana Dau
Ndugu Alex Raphael Gashaza
NduguHawa Abdulrahaman Ghasia
Ndugu Ibrahim Hassanali Raza
Ndugu Angellah Jasmine Kairuki
Ndugu Dr.Hamis Andrea Kigwangalla
Ndugu Prof. Norman Sigalla King
Ndugu Livingstone Joseph Lusinde
Ndugu Dr. Angeline Sylester Mabula
Ndugu Almas Athuman Maige
Ndugu Angelina Adam Malembeka
Ndugu Agnes Mathew Marwa
Ndugu Yahaya Omary Massare
Ndugu Stephen Hirary Ngonyani
Ndugu Stanslaus Nyongo
Ndugu Mattar Ali Salum
Ndugu Peter Serukamba
Ndugu Hafidh Ali Tahir
Pia imepitisha majina kumi na tisa (19) ya Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi walioomba kugombea nafasi ya ujumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa kupitia Baraza la Wawakilishi Zanzibar. Waliopitishwa ni:-
Ndugu Nassor Salim Ali
Ndugu Ali Khamis Bakari
Ndugu Salma Mussa Bilal
Ndugu Mgeni Hassan Juma
Ndugu Riziki Pemba Juma
Ndugu Yussuf Hassan Iddi
Ndugu Khadija Omar Kibano
Ndugu Shamata Shaaame Khamis
Ndugu Mmanga M. Mjawiri
Ndugu Dkt. Khalid Salum Mohamed
Ndugu Asha Abdalla Mussa
Ndugu Mihayo Juma N’hunga
Ndugu Zulfa Mmaka omar
ndugu Hamad Abdalla Rashid
Ndugu Mohamed Ahmada Salum
Ndugu Harusi Said Suleiman
Ndugu Haroun Ali Suleiman
Ndugu Issa haji Ussi (Gavu)
Ndugu Bahati Khamis  Kombo
3  Kamati Kuu pia imepitisha majina ya Wabunge wa CCM wanne, walioomba  nafasi ya  Katibu wa kamati ya wabunge wote wa CCM.
Waliopitishwa ni :-
Mhe. Jason Samson Rweikiza
Mhe. Mary Pius Chatanda
Mhe. Mariam Nassoro Kisangi
Mhe. Abdala Hamis Ulega
Pia imepisha majina matatu ya Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi walioomba nafasi ya Katibu wa Kamati ya  wajumbe wa Baraza la Wawakilishi wa CCM
Waliopitishwa ni:-
Mhe. Ali Suleiman Ali (Shihata)
Mhe. Ali Salum Haji
Mhe. Abdallah Ali Kombo
4. Katika kikao hicho pia Kamati Kuu imepitisha majina ya wanaCCM walioomba nafasi wazi mbalimbali za uongozi.
Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Kibondo
Ndugu Josephat Mizozi Ntambindi
Ndugu Gilbert Ntausiga Kagoma
Ndugu Malck Daudi Rudugu
Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa Wilaya ya Handeni
(i)  Ndugu Omar Abdallah Kigoda
(ii) Ndugu Maajabu Athuman Hamis
(iii) Ndugu Musssa Said Kidato
(iv) Ndugu Hamis Hamad Mnondwa
(v) Ndugu Athuman Yahaya Lukoya
(c ) Katibu wa Uchumi na Fedha, Mkoa wa Mbeya
(i) Ndugu Charles Michael Mwakipesile
(ii) Ndugu James Mwampondele Mwasunga
(iii) Ndugu Stephen Issac Mwakajumulo
(d) Katibu wa Uchumi na Fedha, Mkoa wa Njombe
(i) Ndugu Creiton Patric Lulambo
(ii) Ndugu Salu Batwel Sanga
(iii) Ndugu Reuben Erick Nyagawa
Imetolewa na:-
KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI
Christopher Ole Sendeka
MSEMAJI WA CHAMA
CHAMA CHA MAPINDUZI
03/05/2016

Share on Google Plus

. Mtani

Mshana is Tanzanian blogger who writes different news without bias, He provides social, political and sports as well as Entertainment news happening in all parts around the World."STAY ME ALL THE TIME FOR INSTANT UPDATES.."
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment