Rais wa Taiwan, Tsai Ing-wen, amejitolea kuielezea Uchina namna Taiwan ilivyojibadilisha kutoka mfumo wa chama kimoja cha siasa, na kuwa demokrasi iliyochanua.
Pendekezo hilo la Bi Tsai, linaweza kuonekana Uchina kuwa uchokozi, wakati siku inakaribia ya kukumbuka mauaji ya Medani ya Tiananmen, miaka 28 iliyopita ambapo jeshi la Uchina liliwaua waandamanaji waliotaka mabadiliko ya kisiasa.
- Meli ya kivita ya China yapita karibu na Taiwan
- Marekani yatuliza China juu ya Taiwan
- Trump asema sera ya 'China Moja' itabadilika
Wakuu wa Uchina wanaidharau siku hiyo na wanawazuwia wengine wasiikumbuke.
Bi Tsai aliisihi Uchina ikubali matukio ya tarehe 4 Juni, mwaka 1989.
0 comments:
Post a Comment